Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 19, 2010

TUZO ZA ZIFF MONALISA NDIYE MUIGIZAJI BORA.

Kupitia movie ya BLACK SUNDAY toka Pilipili entertainment co. ltd Dada yetu na mkongwe wa sanaa ya filamu nchini Yvonn Cherry(MONALISA) amepata tuzo ya muigizaji bora katika filamu za kiswahili hapa nyumbani.Movie hii ambayo tumecheza wote na Monalisa bado haijaingia sokoni ila ni filamu nzuri na Monalisa kacheza vizuri sana.The great na blog hii twakupa hongera sana hakika ni haki yako upate,Monalisa ameidedicate tuzo hiyo kwa watoto wake wawili na mama yake mzazi bi.Suzan Lewis(NATASHA) huku akiongea kwa furaha ''nawapenda sana'' Akionesha tuzo yake juu mara tu baada ya kukabithiwa

Kidumu,The great,Slyvia na Swahiba tulikuwa tumekaa tukishuhudia msanii mwenzetu akipokea tuzo yake

Akiwa na tuzo yake toka ZIFF

The great nilimfata kumpa hongera maana nae huwa mstari wa mbele kunipa moyo na pongezi pindi ninapofanya jambo la heri

Swahiba nae alimpa pongezi kwa hatua hii.

5 comments:

Anonymous said...

Huo ni mwanzo wa levo za kimataifa kila la kheri mona na wewe kanumba pia unafanya kazi mzuri sana hazichoshi kuangalia. Waiting YOUNG MILLIONEA kaka.

Mariam wa MT

Anonymous said...

TUNASUBILI HIYO NA JIDE, NIMETEMBELEA KWAJIDE NIMEONA SASA HIVI. ME NTAKUTAFUTA NIKUPE STORY YANG NZURI SANA, INAWEZA IKAWANA PART 3, NI UKWELI NA NI KISA KIKUBWA MMNO.

KWANZA HAP NALIA NIKIKUMBUKA.

OK MPE H WEMA, PIA NAPENDA SANA UCHEZE NA NARGS

HALAFU HEBU MTAFUTEN MSAANII BORA ALIYE SIRIAZI, NA MWENYE NIDHAM, WA KIKE MI NTAFURAHI, JAMAN

STEVE JARIBU KUMCHUKUA NA HAWA MKAMBA AMEPOTEA JARIBU KUMRUDISHA KWENYE GAME.

Anonymous said...

hiyo nguo bwana kanumba ni ya nyota ya mchezo nini maana kila siku hukosi kuivaa hiyo yenye kaua hiyo alafu si inabidi uwe na fire extng kwa ajili ya moto ikishika moto hiyo balaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Hongera Monalisa, na hongera Kanumba, nyinyi wote mimi ninawakubali sana, mpo juu.Kazi zenu nzuri hamrembi, mpo kazini, ongezeni juhudi zaidi, mimi naamini mtaleta mabadiliko sana na kupeperusha bendera ya taifa letu. Keep it up!!

PRINCESS OF PEACE said...

KAKA KANUMBA NAKUPA BIG UP SANA KWENYE KAZI ZAKO,UKO JUU!ALL THE BEST MAY GOD BLESS YOUR WAYS HOPE YOUR AL DREAMS WILL BE FULFILL BRO......
ALSO CONRATULATIONS TO MY BELOVED SIZ FOR RECEIVINGZIFF AWARD I APPRECIATE HER....MONICA BR. WA MUSOMA