Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 19, 2011

WAKATI BONGO TWALIA NA JOTO WENZETU HUKU WALIA NA SNOW....

Hii imemwagika leoleo......Washington dc na sehemu zingine...





Mzee Yusuph Kalala akikwangua barafu katika gari

The great na Mzee Kalala kwa pamoja tunawakilisha..

16 comments:

Anonymous said...

kaka hilo koti limekuganda nini mbona halitoki mwilini kila siku??

Anonymous said...

Aisee kweli wewe mtoto wa kibongo, yaani hata baridi husikii, wenzio wanamakoti makubwa na bado wanatetemeka lakini wewe ndo kwanza kifua wazi na katisheti; du.

Anonymous said...

ukirudi kidhungu kitakuwa kimenyooka kidogo!!! hahahaha usinibanie comment yangu! likizo njema.

Anonymous said...

Kanumba hivyo viatu si vya snow, waambie wakupeleke ukanunue viatu vyenye meno chini, maana ukipiga mweleka unavunja mguu

Anonymous said...

Hii sio Clarksberg??? mbali kichizi na DC

Anonymous said...

big up,sijawai ku sikiya ray swahiba wako ana kwenda holiday.nikazi nyingi,pesa ndo hakuna ama visa haipatikani?

Ramoza said...

Hivi kaka ni kweli ulikwenda kufanya shopping ya vifaa vya kurekodi filamu ama ulialikwa na mzee Yusuf Kalala?

Anonymous said...

Kweli wabongo tuna wivu na hatupendi maendeleo ya wenzetu. Yaani badala ya tumwangalie mtu kaenda kufanya nini watu tumekazana tunaangalia kavaa nini kafikia umbali gani na new york...it doesn't matter as long as anafanya kile kilichompeleka na anafanikiwa basi tumsupport. Jamani tujifunze kuwa positive na supportive kwa watu wetu ili wavunjike moyo wa kwenda mbele zaidi. Mtu unataka aingie gharama ya kununua viatu vya snow kwa ajili ya siku mbili atakazokaa halafu akiondoka aanze kutafuta pa kuviacha manake bongo havifai kama anaweza kuvumilia hiyo baridi kwa siku hzo siku chache kwanini asivumilie tu hiyo hela akafanyia vitu vingine vya maana. We really need to change and be supportive jamani tuwe na wivu wa maendeleo sio kuvunja moyo watu halafu sie ndo wa kwanza mtu akifail tunaanza kumnyooshea vidole na kumcheka. HUO NI MTAZAMO WANGU. Doris.

Anonymous said...

LIBENEKE OYEE
KAKA NAOMBA IWEKE HII ILI WADAU WAIONE NA WAJIUNGE KATIKA KUENDELEZA LIBENEKE LINEGINE KATIKA SKYSCRAPERCITY, TUNATAKA KUWA NA TANZANIA FORUM ILA TANZANIAN FORUMERS HAWATOSHI, KWA HIYO TUNAOMBA WADAU WAJIUNGE NA KUCHANGIA MAADA MBALIMBALI ZA TANZANIA ILI TANZANIA YETU IJULIKANE VIZURI, TAFADHALI TEMBELEA THREAD ZA TZ KATIKA LINK ZIFUATAZO
DAR ES SALAAM AND ZANZIBAR PHOTO GALLERY

http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948



http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=38

TANZANIA TOURISM

http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392



http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392&page=13

TANZANIA GENERAL CONSTRUCTION

http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1135361

TANZANIA ROADS HIGHWAYS AND STREETS

http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595

Anonymous said...

Kanumba funga jacket hilo utatolewa maji ya mbavu usilete ubishoo kwanye baridi.

Anonymous said...

Hapo mbona baridi hamna? ungekuja mwaka jana saa kama hizi ungerudi kinyume nyume.

Anonymous said...

Haha haha ha!! Hata mimi ni MBONGO HALISI lakini naishi Europe, Nashindwa kuwaelewa wanaomshangaa Mr "SK" Steven Kanumba,kwa kuvaa koti na kuacha kifua wazi kwenye kipindi cha baridi nchini Marekani-Tuelewe kuwa katika kipindi cha Joto au baridi,ni mtu mwenyewe mhusika atajisikia kuvaa kile kivazi kinacholingana na joto lake la mwili na mazingira hakisi ya sehemu husika,Sasa iweje leo wabongo wamshangaa Kanumba kwa hilo?...Kwa nini tusijiulize mbona nchini Bongo iwe baridi iwe joto,au hata joto kali ni "SUTI" je hii nayo ni Fashion au ndio U-smart???

Anonymous said...

Hallo MATAPUTAPU...hivi Hata kama Kanumba alialikwa na mzee Yusuf Kalala....Hana haki ya kununua Vifaa au mahitaji yake?.....Kumbuka kuwa Kanumba si mara yake ya kwanza kukanyaga ardhi ya Wa-Amerika....hivyo hata kama alialikwa au hakualikwa na mzee Yusuf Kalala....wewe uko mbali na haki ya kumjaji...Kanumba Keep it more than Up.....

From DK...

Anonymous said...

mic u shem kalala..nakuona mnatesa tu na the great. mbona da sharifa simuoni jamani wee nimemmiss kichizi

da sanura
denmark

Anonymous said...

How do you know it is Clarksberg from the picture? By the way kwani ikiwa mbali na Dc tatizo ni nini? kunasehemu Marekani mbali kusikofikika?? Yaani kuna watu wanaboa saana. Oh mara ubadilishi jacket etc, wewe unaenda kufanya shopping ya vitu nje ya nchi unabeba nguo/mizigo mingi ya nini ilihali ukirudi utakua na mizigo zaidi!.Kuweni positive kidogo jamani ah! Kanumba keep up the good work.

Anonymous said...

Viatu alivyo vaa kanumba chini ni mpira kwa hiyo perfect for snow. Clarksburg iko 45 minutes drive to DC kwa hiyo sio mbali kichizi kama ilivyokuwa suggested. Muacheni Kanumba apumzike kidogo kukosolewa kwa vitu visivyokuwa na mpango. jamani wabongo kwa roho mbaya. Kama koti la lake wewe kinakuuma nini? Wivu tu.