Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 28, 2011

ZIARA YANGU HOLLYWOOD.....2

Mfano wa camera zilizowahitumika hollywood

katika madame tussads(hollywood) ipo pia sanamu ya michael jackson

hapa hutumiwa kama bahari,ziwa au mto ambapo huwekwa kimeli kidogo na sanamu la shacks na shooting kuendelea ambapo huonekana kama bahari kubwa.

hapa ndipo aliposhutia Tom Cruess katika movie ya WAR OF THE WORLD kama ndege iliyopata ajali.lakini si kweli bali hapa pametengenezwa na kuonekana hivi.



Humu ndani ndipo kuna maonesho ya technology ya SKYNET iliyotumika katika movie ya TERMINATOR 2

Jumba la kutisha na lenye maajabu kama huwa unatizama picha za vampire basi tizama picha chini hapa..







Kwa mbele ya UNIVERSAL STUDIOS kuna alama hii ya director akidirect,mtu wa sauti kashika boom mic na cameraman akiwa katika crain..ni alama inayovutia sana..





Hollywood walk of fame penye alama mbalimbali za mastaa akiwemo Michael Jackson



hii ni sehemu mojawapo ya jumba ambalo sinema huzinduliwa humu na mbele yake kuna alama za mastaa mbalimbali wa movie kama hiyo juu ya Will Smith ambazo huziweka mara baada ya kuzindua movie zao kama kumbukumbu.

Mitaa hii ya hollywood usiku na mchana imejaa wasanii mbalimbali ambao hawana tabu kupiga nao picha kama hivi

nimepiga picha kama mtu yoyote yule anayeweza fika hapa na kupiga picha kwa kumbukumbu yake,isije kuwa tena ndio mjadala na habari.

Kama umeshaona LORD OF THE RINGS utakumbuka hawa watu

Terminator ya Anord.

Huyu jamaa sina haja ya kumuelezea kwa watizamaji wa movie na hii ni wax yake iliyomo humu HOLLYWOOD MUSEUM WAX

10 comments:

Anonymous said...

thanx bro tumefaidika wengi maana nilikua na hamu sana kujua mambo hayo sasa at least nimefumbuka....mungu akujalie ufike maeneo mengine ambayo hujafika na unatamani kufika.thanx

kadadaa said...

kaka kwa kweli hongera sana, na asante pia maana umetupa vitu hadimu na ambavyo sikutegemea kupata, kwa kweli nimejifunza mengi sana mana, Mungu akutangulie kwa kila jambo.

Anonymous said...

SAFI SANA KAKA YANGU

Anonymous said...

BIG UP THE GREAT

Anonymous said...

THANX BROH UMETUFUNGUA AKILI

Anonymous said...

I LOVE U KANUMBAAAAAAAAAAA

Anonymous said...

WEMA ALIKUWA HUKO KASHINDWA HATA KUFIKA MATOKEO YAKE ANATIA AIBU HUKU BONGO NA DIAMOND WEMA HOVYO

Anonymous said...

Saa WEWE Wema katoka wapi katika habari hzi??????

Jua Wema ni Wema na atabakia kuwa Wema!!!!!!!!!

Tunajifunza na kuzungumzia habari za kimaendeleo ya filamu jamani hatumzungumziii Wama hapa

Anonymous said...

KANUMBA UPO JUU YANI HII ZIARA IMEZIDI KUONYESHA UPEO WAKO UKOJE BIG UP FUNIKA BOVU

Anonymous said...

nahisi ulienjoy sana na tunashukuru kwa kutuonyesha mmbo mengi na ya muhimu kweli penye nia pana njia ubarikiwe.

meggie impostra