Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 30, 2010

Katika maisha yangu napenda sana ADVENTURE.....

Hapa The great nilitembelea maeneo ya Shaka marine yaliyopo hapa Durban(south africa)kuona baadhi ya viumbe au nyoka hatari sana tulionao Africa. huyu ni hatari

Hawa sikuwaelewa ni viumbe gani

eti niliambiwa huyu ni nyoka mpole sana...mmh?

Ulishawai kuona nyoka Albino??ndio huyo hapo joka albino na mwingine ndio original yake

Hapa mwili ulinisisimka maana sijawai ona joka nene kiasi hiki......huyu niliambiwa hujivilingisha ktk mwili wa kiumbe chochote anachoshambuliana nacho alafu anajivuta ili kuvunja mifupa ya mwili tayari anakuw3a kashaua......

Eneo lenyewe kwa nje laonekana hivi....

Hiki ni kibao kinachokukaribisha hapa SHAKA MARINE(ZULU KINGDOM)

Umaarufu hauna mipaka,hapa nilikutana na mashabiki wangu ambao ni walinzi wa hapa shaka marine wakaomba kupiga picha na mimi...nami nikaona niwape haki yao.

kama nilivyosema napenda sana adventure hii ni milima ambayo imekuwa ni kivutio kikubwa sana kwangu hapa ni nje ya mji wa durban.


hapa utadhani uko juu ya ndege maana nyumba zinaonekana ndogo sana pamoja na gari..kama una roho ndogo kizunguzungu lazima ukipate.

Hivi ndivyo uumbaji wa Mungu ulivyo...hakuna kama yeye.

9 comments:

Anonymous said...

Shame on you kutwa kusifia vya watu Lushoto,Mbeya,Ifakara huko kuna milima km hiyo,Kaka Majjid Mjengwa huwa naonyeshaga ktk blog yake usiwe mtumwa anzia kwenu sio kwa watu ,Mbona hata siku moja kutembelea Utalii wa ndani km Mwigizaji wa Nchi hii kutwa kusifia Andeventure zawatu.

Anonymous said...

hiyo ndio unaita adventure we nae una boa sometimes kaaa

Anonymous said...

we kanumba acha ushamba eti ustaa wamekuomba wapige na we picha loh we ndio umewaomba upige nao picha acha ushamba we kijana huna ustaa wakihivyoooo

Anonymous said...

Kaka mimi nilifikiria kila hatua utakayopiga huko utakuwa ukitujuza, sasa mbona majoka tu? kunani huko? nataka kujua nini kinajiri katika kukuza uga wa tasnia yetu adhimu, hebu acha kukengeuka!! Naitwa Yakuti wa Yakuti

dachi said...

heshima yako kaka kwanza nakupongeza kwa moves zako nzuri yani unanikuna ile mbaya nanina kuhadi nitakupulizia vuvuzeraaaaaaa mwanzo mwisho maisha yangu kama
shabiki wako kaka pamoja nahayo yote nilikuwa naomba hapa katika blog ungetuwekea na mizikiyako tukawa tunabuludika zaidi kaka hili niombi tu yani masong yako hasa yale huwa unayatia kwenye sinema yananikuna sana kaka yatie hayo magoma kama vipi yatie hata kwe kanumba nakuomba hili vuvu zeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa oyreeeeeeeeeeeeeeeee.nimimi shabiki wako mkubwa kutoka istanbul uturkye kwabongo natoka magomeni

SHABIKI NO 1 said...

Kuna tetesi kwamba hujui kiingereza aka kidhungu sasa hao jamaa unatumia ujanja gani hasa kuwasiliana nao?sayz SHABIKI wako NAMBA MOJA

Anonymous said...

Kanumba upo juu! Hongera sana, nimependa sana hizi picha zako, na hiyo mijoka mmh! me ningezirai!

Anonymous said...

Mkuu nyoka wote hao wapo hapa Arusha...Ukirudi njoo na Arusha uone variety nyingine..Ni vizuri pia kuitangaza nchi yako kwa utarii wa ndani.

Anonymous said...

unajifagilia sana kuliko ukweli halisi kaka punguza kidogo