Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 3, 2010

THE GREAT MZIGONI TENA...

Ukija katika movie za mapenzi kama Oprah nipo,ukija action kama Hero of the church nipo,ukija za shuleni kama More than pain na johari nipo,Ukija za kichawi kama Magic house nipo,Ukija za kijijini na umaskini kama Village pastor nipo,Ukija za kitajiri kama Young billionaire nipo,Ukija za watoto kama This is it nipo,Ukija za ukichaa kama Crazy love nipo.Sasa hapa nakuletea serious comedy kukuonesha kuwa mimi kila kila uhusika nauweza ndio maana ya kuwa The great pioneer hapa ni katika Morning alarm. The great na beny katika scene

Wakati wa kutoka home nikisalimiana na mpangaji mwenzaguBeny nae akisikiliza maneno yangu

Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika

mmmh

hallowwww

Mshtuko wa nguvu

Huo muondoko jamani ..

4 comments:

lema one said...

OK LETS WAIT AND C KAKA KWAMAANA MNAVO ZIFYETUA KAMA WINE ZA SOUTH AFRICA

Anonymous said...

hi Kanumba!
hiyo comedy inaelekea itakuwa nzuri but kuna kitu nimeona hapo nataka urekebishe nacho ni hiyo NECKLASE ULIYOVAA MKONONI kwa uswazi kitu kama hicho ni cha gharama sana hata ukiangalia comedy za akina MAJUTO za zamani hiyo hamna. ni maoni tu kutoka kwa mdau wa movie za kibongo..

George chisumo said...

the great! amakweli unatupa mashabiki wako kila kitu ambacho tunataka! haya sasa unatoa kitu cha comedy cjui tutake nini sasa mashabiki wako tukose! kote upo kaka! nakukubali kaka naisubiria kwa hamu hii comedy kaka!

nelychance said...

jamani nawapenda sana ben na kanumba yani naona mpvie hii tutacheka mpaka mbavu zitaanguka lol ben kaniacha hoi kwenye movie ya magic house kazi nzuri sana