Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 7, 2010

TULIPOFIKA BUCHOSA HALI ILIKUWA HIVI

Mwenyeji wetu Mr.Erick Shigongo alitupa mapokezi mazuri sana huku akiwa ahamini kama vijana tumeingia kumpa sapoti.

Tulisalimiana na waheshimiwa mbalimbali ambao Mh.Shigongo alikuwa akitutambulisha kwao

Mkurugenzi wa ZIZZOU FASHION Nd.Tippo na Jb nao walikuepo

Kila sehemu tuliyopita hali ilikuwa hivi nasi hatukusita kuongea na mashabiki wetu ambao ki ukweli walionesha kumkubali Erick Shigongo kama ndio tumaini lao Buchosa.

Hapa kama mkutano ila ni mashabiki ambao walikusanyika wakitaka japo tuwasalimu kidogo nasi tulifanya hivyo


Dakika chache baada ya kuingia Buchosa na kuonana na Erick Shigongo tukapata picha ya pamoja na kumtia nguvu ktk safari yake maana lengo na nia yake kwa Buchosa ni njema.


Huwa ni furaha sana unapokutana na mashabiki na wakaonesha kukukubali kwa dhati

Eneo hili lilinivutia sana hapa buchosa maana mimi napenda sana adventure ikabidi nipate picha ya kumbukumbu

2 comments:

Albert said...

Poleni sana kwa safari yenu japokua hamkutuaga. Mimi kama shabiki mkubwa wa movies za ki Bongo basi ningeomba mtuandalie mzigo utakaowahusisha The Great, The Greatest na Mch. JB. Ninaamini mambo yatakua bomba kwani ninyi watatu ni mojawapo wa wasani nyota wa bongo movies.
Albert Felix
Western Australia.

Anonymous said...

up dates zako siku izi zinachelewa sn blog inaanza kubowa