Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 8, 2010

MAMBO BADO YANAPIKWA NDANI YA MORNING ALARM

Sikia ndugu yangu wacha nikapate chupa kidogo..

Hallow unamaliza mboga bwana..

Hii speed yako siielewi elewi

Usinisemee usinisemee kama napenda kulaaaaaa ahahah

Yaani umekula nyama zote alafu wajifanya kusoma gazeti?

Ebu tutafakari haya maisha

Huu mkono wangu nikikupa kibao lazima usahau kama uliwai kuishi katika sayari hii

2 comments:

Albert said...

Tunaisubiri hiyo Morning Alarm na nafikiri itakua bomba kabisa kwani kanumba anapofanya acting hua anajitoa kwelikweli. Kila la heri!
Albert
Western Australia!

Albert said...

Ndiyo kaka, kwa kweli mambo haya yameanza kutuvunja mbavu kwa kuyaona tu kwenye picha, itakapotoka sijui itakua je!
I mean tunaisubiri kwa hamu.
Endelea kuyapika na uweke kila aina ya viungo ili yaive vilivyo!
Kaka Ben, nakuamini sana kwa comedy, ahata na Mzee wangu kila siku anapokuona kwenye game hua anafurahi sana.
Albert Felix
Western Australia