Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 26, 2010

PICHA YA WEEK (OMOTOLA JALADE EKEHINDE)

Ktk pozi

Akiwa na mwanae

6 comments:

Anonymous said...

Jamani huyu dada ni mzuri sana. Hongera zake.

Anonymous said...

kiukweli katika wasanii wakike wa ki-nigeria Omotola nampenda sana ukiacha genevieve & Ini Edo lakini Omo ndio first choice yangu. Kanumba unaweza kunitajia japo kiduchu picha alizo-act huyu bi-dada ambazo zipo hot kwa upande wako pengine nitakuwa sijaziona japo nizitafute please kanumba mimi ni shabiki yako mkubwa.

Hilder from Upanga

Anonymous said...

Inaonekana unamzimia sana huyu actress kwani, ulishawahi tena kutoa hizi picha sometimes back.

Anonymous said...

asante Kanumba huyu dada mzuri sana, ana watoto wanne lakini soo sexy na anajua kazi yake bwana. Keep it up Kanumba, Keep it up OmoSexy

Anonymous said...

ukiletewa maoni ya wanaigeria lazima utoe lakini ingekuwa hizi sifa anapewa dada wa kibongo ungebania comment, haya bania na hii, ujumbe umekufikia

Anonymous said...

Kwa ukweli huyu mama napenda kazi yake na yeye pia jinsi alivyo. Hata anavyoigiza anaigiza uhalisia kabisa. Omotola ni muigizaji anaenibamba kuliko wote ulimwenguni. Nampenda saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana. Kanumba i wish one day ufanyenae kazi halafu uigize kama mume usiye na mapenzi nae yaani umemuoa kwa shinikizo flani halafu uwe unamnyanyasa sana. Itakuwa bomba sana na mtapendeza sana.

Love her & Love u to.

Emmy[Mza]