Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 20, 2010

THE GREAT MZIGONI NAIROBI

Warembo hawa walisogea karibu kuniona ninavyopiga tangazo

Nikipewa mistari ya kuongea

Nikipata maelekezo toka kwa director toka India

Director akinipongeza kwa kufanya sawasawa na alivyokuwa akitaka hivyo kazi kuwa rahisi sana

The great pioneer nikijiweka sawa kwa take ingine

Kama kawaida yangu napenda sana kucheka na utani kidogo

Nikitoa mchango wangu wa maoni juu ya script niliyopewa ambapo waliukubali asilimia 100

The great na Mr.Rashid Tenga

Vifaa vikiwekwa sawa ili kijana niwake

Ninavyoonekana ktk monitor ya camera

The great kazini

Msisitizo wa ki zantel

weweweweeee?

Hakika ZANTEL ni bomba..

Nikiendelea

Nikipata make up tayari kwa kuanza kushoot

1 comment:

Anonymous said...

ur so HB, pray the lord suit imekukaa utadhani ulizaliwa nayo. weraa....

Gg