Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 31, 2010

HARUSI YA KEVIN NA ELIZABETH MWEZI WA KUMI NA MBILI

Mara baada ya kutizama big brother all stars jana jioni na kuona kuwa dada yetu Eliza na Kevin mshindi wa big brother revolution mwaka jana toka Nigeria ni wachumba,nilimtumia ujumbe mfupi wa simu Kevin nae akiwa na Elizabeth wakanipigia kushukuru kwa pongezi pia wakanitaarifu kuwa harusi yao ni mwezi wa kumi na mbili itakayofanyika Nigeria,Kevin akaniomba niwepo ahahah lakini akasema mwezi wa kumi anakuja bongo na mchumba wake kuweka mambo sawa.Hongera sana Kevin na Elizabeth Eliza na shemeji yetu Kevin

3 comments:

Anonymous said...

nawe unajifanya una mwanamke hapo unajidanganya hapo umeokota galasa olaaaaaaaaaa dogo sana wewe huna issue wala nini tooka huko watu wamepiga sana alafu ninachosikiktika umeninyang?anya kaka yako poa

Anonymous said...

Jamani mimi naona wanafanana, hasa usoni pua zao, yaani ni hivyo tu rangi kidogo Elizabeth ni mweupe. wamependeza sana

Anonymous said...

But, since BBA rev i used to admire this guy, Kelvin. He is smart and diligent. Wish them all the best in their endeavour.