Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 18, 2010

THE GREAT NDANI YA NAIROBI KENYA LEO.

SAMAHANI JAMANI NIMEONDOKA KIMYA KIMYA ASUBUHI YA LEO,NIKO NAIROBI KATIKA KUREKODI TANGAZO LA KAMPUNI BORA YA SIMU ZANTEL...TANGAZO HILI NI LA VIDEO,SHUGHULI NTAIANZA KESHO ASUBUHI NA MAPEMA JAPO WAPO BAADHI YA MODELS WALIOANZA KUREKODI MATANGAZO MENGINE AMBAYO SI YA ZANTEL ASUHI YA LEO...LAKINI MARA BAADA YA KUSHUKA UWANJA WA NDEGE NILIWATEMBELEA LOCATION KUWAONA LAKINI PIA KUONA CREW ITAKAYONIREKODI KESHO,JAMAA WANATOKA BOLLYWOOD INDIA NA NI WATAALAMU SANA WA KUREKODI MATANGAZO MBALIMBALI. NIKIWA NA BAADHI YA CREW HIYO KWA MAONGEZI YA KUJUANA

WATU MBALIMBALI WAPO TOKA TZHUYU NDIYE MKURUGENZI WA KAMPUNI INAYOSHOOT HAYA MATANGAZO JINA LIMENITOKA KIDOGO

THE GREAT NA MOJA WA WASIMAMIZI WA KAZI HIYO

FURAHA YA PAMOJA

KAZI IKIENDELEA

CAMERAMAN AKIWA KTK DOLL TAYARI KWA KUPATA SHOTS ZA MAANA

TIZAMA MWENYEWE

HILI GARI LOTE LIMEJAA VIFAA VYA PRODUCTION HAKIKA SI MCHEZO

KAZI KWA LEO IMEMALIZIKA WATU WARUDI HOTELINI KUPUMZIKA KUJIANDAA NA KESHO TENA

ZAMDA NA KENY AMBAO LEO WALIKUWA NA KAZI KUBWA SANA TOKA ASUBUHI YA SAA KUMI NA MBILI WAKIREKODI TANGAZO LA CONDOM.

THE GREAT NA WAREMBO NIKIRUDI HOTELINI ILI KESHO NIANZE KWA NJAA ZANGU KAMA KAWAIDA NA KONGA NYOYO

7 comments:

Anonymous said...

Hongera kaka Kanumba, MUNGU AKUBARIKI

Albert said...

Aaah, mpka huko ndoo umefika kaka?
Punguza kasi basi...
Albert
Western Australia

Anonymous said...

yani wewe unatoka TZ mpk kenya kufanya kazi afu eti unatuamb ia jina la kampuni limekutoka wat is that
Kanumba mi nakupenda sn mana upo juu na una jiamini ila vitukm ivi vinakushusha na kuchelewa kuupdate matukio kwenye blog humu

Anonymous said...

jamani huyo ni zamda masondole aliyemaliza A-Lharamain?

Anonymous said...

Hivi Kanumba mpaka sasa jina limekutoka loh

Anonymous said...

Kanumba big up dear brother I admire you na kazi zako much love endelea kukamua na Munugu akubariki

Mdau wa film zako.

Anonymous said...

aaaahhhhhhhhhh mmmhhhh huyo kenny na zamda mmependezeana ni tangazo tu au ndo ukwel ukwel???