Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 29, 2010

EXTRA BONGO WATAMBULISHA NYIMBO MPYA LEO.

Bendi kari ya mziki wa dansi EXTRA BONGO ikiongozwa na ALLY CHOKY imetambulisha nyimbo zake mpya katika ukumbi wake wa mazoezi wa LUFITA-Sinza mori,wadau mbalimbali na wana habari walikuepo kusikiliza vibao hivyo ambavyo kwa majina ni NEEMA na NGUVU NA KAZI.Hakika ni vizuri sana. The great nikiteta jambo na Ally choky mara baada ya kuingia hapo ukumbini

Extra bongo kazini

Wacheza shoo wake wakionesha mtindo wao mpya wa Kizigo

Style ya Kizigo ikiwa imepamba moto

Niliitwa mbele kutoa machache kama mmoja wa watu niliosaidia kufufua upya bendi hii pindi ilipozimika miaka ya nyuma,katika kikao cha kwanza kilichofanyika Hotel ya Lamada tulikua mimi,Ally choky na Chiff kiumbe tukaweka nia bendi hii ianze tena ndio hadi sasa mnavyoona inazidi kutingisha

The great nikifafanua kwa undani zaidiDada huyu jina kapuni alitia fola sana katika kucheza

4 comments:

Anonymous said...

Kanumba hizo r na l unazo koroga hebu tafuta mtu akusaidie kabla hujapost uwe una edit Bendi kari badala ya bendi kali, alitia fola badala ya alitia fora. What ever you write or say gives a light to what kind of a person you are. Tafadhali vifanyie kazi sana utaweza nakuaminia

Anonymous said...

Haswaaa... eti m2 anadhani anavyoongea ndivyo anavyoandika. inahusu?

Anonymous said...

Msomaji uliyepita umefanya vizuri!Kanumba rudi darasani ujifunze Kiswahili!Bendi kali,wanahabari walikuwepo!

Anonymous said...

Whithout jealous Ally Choki won't get no where with that Bank. If you are supporting him you are wasting your time my Friend. Labda kama anataka kupandia Mgogoni mwako. Hana Jipya huyo