Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 14, 2010

JAMANI TUSIACHE KUTEMBELEA HAPA KWA USAFI WA MIILI YETU KUANZIA KUCHA,MIGUU,MIKONO,NYWELE N.K

The great namimi huwa haishi week sijapita hapa ndio maana mda mwingi naonekana safiiiiii

The great na Mercy(mkurugenzi wa Mercy g saloon ambaye huwajali wateja kwa asilimia 100.

Hadi kwa wale wanaopenda kuweka tatoe kama hiyo mkononi kwa Mercy karibuni sana

4 comments:

Anonymous said...

mambo! naona ingekuwa vizuri kama ungetuandikia mtaa ili iwe rahisi watu wa nje yani ambao atuishi bongo, pls tuwekee mtaa wa sehemu salon ilipo. mdao kutoka sweden

Anonymous said...

mh huo mkorogo Mercy?

Anonymous said...

punguza ubishoo, kila siku vitu hivyo hivyo tunataka mambo mapya kama huna funga blog

Anonymous said...

the salon is located on nkrumah street inside continental hotel you can also call0719251962, 0719251961 0789700600 email; mercygbeautyparlour@gmail.com u'all welcome!