Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 21, 2010

Jamani UBWABWA tayari umeiva......


Ile filamu mliyokuwa mkiisubilia kwa hamu "MORE THAN PAIN" yani waswahili wanasema "Zaidi ya maumivu" imeshakamilika kwa kiasi kikubwa na sasa tunaisubulia tuu kuingia sokoni...
kaeni mkao wa kula.....

6 comments:

Anonymous said...

Ham ham..... mbwabwa taaam e? mm ni mdau wako namba mbili moja cjui ni nani, yani ikitokea tu cd ina ww kwa kasha mie nnayo. ur so gud men. big up kaka.

Gg

Anonymous said...

kanumba jaribu kujifunza matumizi ya R na L.

BQ said...

AISEE TUNAINGOJA KWA HAMU PLZ IKIINGIA TU DUKANI WE TUHABARISHE ASUBUHI NA MAPEMA.

Anonymous said...

Kanumba na Swahiba wako Ray Movie zenu hazionekani kwenye DVD players za huku Marekani. Tunalazimika kutumia computer na tukitumia zina haribu computer zetu. Mbona za kinigeria zinaonekana vizuri tu tena zinauzwa kwa wingi mno hata kwenye maduka ya mtaani yanaitwa seven eleven zimejaa hebu fanyeni na za kwenu ziuzwe huku.

Anonymous said...

Hello kaka kanumba naitwa Hans Killo nipo Moro,ninapenda kuwa mwigizaji ila sina pa kuanzia maana hakuna hata vikundi vya sanaa,naomba msaada wako kaka jinsia yangu ni mwanaume miaka 20 namaliza o level mwaka huu,tafadhali naomba msaada wako naamini hautajuta kunisaidia

Anonymous said...

kanumba we mkali binafsi nakubali kazi zako,endelea mguu mbele zaidi binaadamu kusema ni kawaida wapo watokupenda na kukuchukia maisha ndivyo yalivyo.Tunasubiri kwa haamu hivyo vya jikonimkalok