Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 21, 2010

KIDUM NA THE GREAT-NAIROBI

Msanii maarufu wa mziki nchini KENYA na rafiki yangu aliamua kunitembelea Hotelini kwa maongezi na kusalimiana kama wasanii lakini pia akanipatia zawadi ya CD ya nyimbo zake zilizo katika albam yake mpya iitwayo HATURUDI NYUMA,Tukapata na picha za kumbukumbu nami nawapatia habari kama hivi. The great na Kidum pembeni ya gari yake

Kidum alikuwa ameulambia mkanda nje maana alikuwa anaenda kupaform katika harusi moja hapahapa mjini Nairobi.

Albam yake aliyonipatia inavyoonekana kwa mbele.

Kwa upande wa nyuma inavyoonekana....Asante sana Kidumu kwa ZAWADI HII.

3 comments:

Anonymous said...

kanumba hiyo pensi uliyovaa na hiyo machine yako hapo juu mbona umetuna sana

Anonymous said...

big up kakaa kanumba ur so nyc....

Anonymous said...

big up kakaa kanumba ur so nyc....