Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 20, 2010

PICHA ZAIDI ZA THE GREAT MJINI NAIROBI-KENYA

Kwa pamoja nikiwa na crew ya production na model mmojawapo(wa kwanza mkono wa kulia)

Wamasai wakifanyishwa rehasal kabla ya kuanza kushootTaa kubwa zinazosaidia kupata mwanga sahihi hata wakati wa mchana

Haya sasa mambo ya crain ndio hayooo

Shots za juu haina haja ya kupanda juu ya mti au gorofa,kifaa maalum ndio hicho.

Check camaraman anavyopata picha anazozitaka kiuraini

Pamoja na kwamba wamasai wanaweza sana kuruka juu lakini pia walipewa kifaa sawia cha kuwasapoti kuruka bila kuchoka katika sehemu zote walizotakiwa kuruka kama unavyoona katika picha hapo.

Mambo ya msosi kama kawaida yangu siko nyuma na hicho kijiko kikawa kinanizingua hakichoti ubwabwa kiasi ninachotaka.

Nikaona isiwe tabu nikashika kwa mkono ili nipate radha na speed niliyozoea maana kijiko sikielewi.

Kila mtu katika msosi.

mmmh chakula ya Kenya tamu sanaaaa

3 comments:

Anonymous said...

nakukubali sana

mteleban said...

binafsi nimeona pics zenu hizo! ila jamani swali langu ni kwamba mpaka kufanya videio ya matangazo ya company cm ni mpaka Nairobi kenya? kwanini usifanye Tanzania? naamini jibu huna coz najua ndo first time umetoka nje ya nchi yako yaani ndo upo mtoni siyo kwa wewe! haibu kanumba tembea basi nchi za watu za maana siyo! mwenzio nipo mamtoni siyo, ndo maana kama upeo wako ni mkubwa unatakiwa ushauri wasanii wenzie ktk uchaguzi huu ujao tumchague Dr WA Darasani wa ukweli SLAA naamini uwezi kwenda tena nairobi!!! issue zote zitakuwa shwari hapo home ila kama unataka kwenda nairobi mpe kikwete wenu huyo kwanza hakawi kuangu next month tena. kisha mdogo wangu nenda school siyo usikae kwa kutegemea English couse ya magomeni tu!if u wanna deal school study more man is true. mwamba mi ni AFANDE TUMAINI WA POLICE DSM ila nakula school EUROPE MAZEE. Nice election to you TZ PEOPLE. IS TRUE THEN. SURE, SURE, SURE SUREEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!.

Anonymous said...

the great nimependa hii kazi yako ya kuelimisha jamii, ila naomba utoe hii wall / background umeweka, iko kama na ishara mbaya bwana kwa sisi tulio na imnai ni ishara ya hatari sana, please naomba usikie kilio changu, mbona umetoa ile ya mwanzo ilikuwa pouwa sana. Ni hilo tuu, otherwise your doing great job, congrats