Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 31, 2010

Semeni nyinyi...


8 comments:

Anonymous said...

haaa!! ndo nn sasa???

florah said...

KANUMBA please mimi ni mpenzi sana wa movie hata blog yako yaani wakiitwa wapenzi wa kazi zako naweza kuwa namba moja, ila Please, Please picha inatisha ondoa katika blog bwana weka sehemu yakufanya mtu atafute kidogo ili ionekane kwa atakaye na sio kwa kila mtu, ni maoni yangu kwani inanitisha sana.
Florah

Anonymous said...

kanumba kazi zako ni nzuri sana, ila kinachonishangaza ni kwa nn siku hizi unapnda kuigiza picha za Uchawi/ mauaji na leo umetuwekea picha ya ajabu sanaleo ni nini tena unatafuta? wewe angalia Free massons wasijekukuteka, ndo ishara zenyewe hizo.
Otherwise kazi zako ni nzuri keep it up!!

Anonymous said...

kanumba kazi zako ni nzuri sana, ila kinachonishangaza ni kwa nn siku hizi unapnda kuigiza picha za Uchawi/ mauaji na leo umetuwekea picha ya ajabu sanaleo ni nini tena unatafuta? wewe angalia Free massons wasijekukuteka, ndo ishara zenyewe hizo.
Otherwise kazi zako ni nzuri keep it up!!

Anonymous said...

kanumba mimi ni mmoja wa wamashabiki wako sana,nikonje ya mada kidogo kama hutajali tuonyeshe mahali unayoishi.eneo na nyumba kwa ujumla hata ndani ikiwezekana pls tunakutakia kazi njema

Anonymous said...

kinehe isezaye, kaka nakukubali mia kwa mia kwa kazi zako nzuri. ombi langu tunahitaji mapicha zaidi bloguni sometime inaboa

Anonymous said...

JAMANI KANUMBA MIMI KWAKWELI NAPENDA WASANII WABONGO NA NINAPENDA SANA KUWASUPPORT ILI MUENDELEE VIZURI NA PIA NI MPENZI WA MOVIES GENERALLY.

NIMENUNUA MOVIE ZAKO KADHAA, YANI ARE VERY GOOD AT ACTING, TENA NIKIKUKUMBUKA ENZI ZILE ZA MCHEZO WA KWENYE TV, U WERE SO GREAT KENYE HIO PLAY.

TATIZO LILILONIFANYA NISINUNU MOVIE ZA BONGO TENA, AU TUSEME FOR SOMETIME NI KWAMBA THEY ARE SOOOOOO BORING, YANI SCENE NDEEEEEEEEEFU, HALAFU YANI MTU UNAJUA KITACHOFATA, PICHA NA SCENCES HAZIJACHANGANYWA VIZURI.

JAMANI MAMBO YA PART ONE NA TWO YAMEPITWA NA WAKATI, TUNATAKA NDANI YA 1.5 HOURS AU 2HOURS MAXIMUM TUPATE MZIGO WA QUALITY. SIO MASAA MATATU YA THE SAME SAME THING WHICH U EVEN KNOW HOW ITS GOING TO END

KWELI NASIKIKITIKA SANA KUA NAMATANGAZO YOTE HAYO SIONI CHAKUNSHAWISHI KUNUNUA TENA CD, NA SIO MIMI TU.

SIO WEWE TU, NA WENZIO KAMA RAY N.K MOVIE ZENU BANA ZIMEKUA KAMA ZA KINIGERIA, YANI HASA WEWE UMEKUA MNAIJA KABISAAAA.

KAMA UNATAKA UACT KILA SIKU BASI TENGENEZA SERIES, SIO KUTOA MOVIE KIBAO KWA MWAKA ALAFU SIO NZURI

KINGINE, VITU VINGI VINAKOSA UHALISIA, JAMANI WAKEUP GUYS. MTAMO WANGU MOVIE ZA BONGO BAADO

Anonymous said...

sijui hata niseme nini