Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 10, 2010

PASTOR EMMANUEL MYAMBA ATEMBELEA MICHIGAN ADVENTURE USA

Msanii mwenzetu Emmanuel myamba ambaye wengi tumemzoea kumuita pastor kutokana na kuigiza sana na vizuri sehemu za uchungaji ambaye yuko michigan Marekani kwa mda wa miezi miwili sasa akipumzika katembelea MICHIGAN ADVENTURE kujionea yaliyomo,chini hapa ni baadhi ya picha zake mahali hapo...sawasawa shegu enjoy. Pozi la kichungaji la kuwafikiria wahumini

Kijana akipaa zake kwa raha zake

Haya sasa pastor anaogelea

Haya haya twende twende

Kwa raha zake mzee wa fire


Sehemu yenyewe kwa mbele mahali pa kuingilia panavyoonekana


Rose,myamba,dada kwa pamoja wakiwakilisha

3 comments:

Albert said...

Huu mchungaji anaonekana kupenda adventure sana. Tunakuamini sana Pastor Miamba na next time utukumbuke hata na sisi watu wa Australia, tutafurahi sana kukuona ukitutembelea!
Albert,
Western Australia.

Anonymous said...

atakuja huyo, pesa no problem hapo dada yake ana mbumba za kufa mtu na roho yake nzuri. Mungu amzidishie. Amen

chediel Mziray said...

haya kijana Mungu akusaidie uwe mchungaji wa kweli.