Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 26, 2010

BOZI BOZIANA NDANI YA BILCANAS

Mwanamziki toka Congo akiwa na wanamziki wake akiimba moja ya nyimbo zake zilizovuma enzi zile alipokuwa na akina Skola Miel

Bozi Boziana jukwaani

2 comments:

Albert said...

Kumbe huu jama bado anaendelea na mziki? Aliwahi kuvuma sana miaka ya 97-98 alipokua ni kijana-kijana ila kwa sasa hata kama ni mzee bado hataki kuacha, ana songa mbele tu, which is good anyway! Ni vizuri kujitoa kwa kazi uliyoichagua mpaka pale mauti itakapokuchukua.
Lakini mdau vipi mbona hakuna habari mpya kuhusu offside? Mmesimamisha au?
Albert.
Western Australia.