Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 14, 2010

GARI YANGU YA PRODUCTION(KANUMBA THE GREAT FILM)

Wadau,ndugu zangu na mashabiki zangu hii ndio gari yangu katika kampuni yangu ninayotumia katika shughuli zangu za production(movie)wasanii au crew yangu na mambo mengine yahusuyo production basi huwa humo hivyo kurahisisha mambo ya usafiri kwenda location na kurudi,hivyo wakati wa kazi itatumika gari ya kazi na wakati wa matanuzi(matembezi)itatumika gari ya matembezi.Asanteni sana mashabiki wangu wa kweli toka moyoni kwa upendo na ushirikiano wenu kwangu hasa hasa kwa kununua kazi zangu original na si feki,endeleeni hivyo nami nawaahidi kuzidi kuwapa kazi nzuri na bora maana bila ninyi nisingekuepo mimi Steven Kanumba,Mungu awabariki sana na abariki sanaa ya filamu Tanzania.Upendo wangu wa dhati u katika mashabiki wangu wa kweli toka moyoni,walio wazalendo,wenye kuheshimu na kupenda sanaa ya nyumbani.Ubavuni inavyoonekana

Upande wa pili yake

Kwa mbele

Kwa nyuma

Pembeni The great nikitabasamu kwa mbaliiiiiiiiiii

24 comments:

Anonymous said...

wooooooooooow hongera sana kaka angu kw kupiga hatua maana sasa tunaona mafanikio ya kazi zako umefanya la maana sana na lazima kuwe na gari ya kazini kwa ajili ya kz na home ni home sina la zaidi ya kukuombea mafanikio na hongera tenaaaa

marimar

Anonymous said...

hongera sana kwa kufikia hapo ulipo.ila kuwa makini na vibaka wa bongo.Maana wakiona gari na picha ya kanumba wanaweza kudhani humo ndani mna chochote cha kukwapua

Anonymous said...

a step forward kaka (Raqey)

Anonymous said...

Hongera sana tunakupenda na tunapenda kazi yako pia mungu akubariki zaidi K, shabiki from Oslo

Mama twince said...

hongera uncle JJ hayo ndio mafanikio tunayotaka kuyaona. Tunakuombea kwa Mungu azidi kukupa afya bora na uhai ili uweze kutupa mambo mazuri. Congrats bro! kitu kimetuliaa! Sio mchezo.

Anonymous said...

hongera saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana hayo ndio maendeleo tunayotaka wadau wako, mimi ni mdau wako mkubwa sana toka moshi kilimanjaro naitwa mama richie

naima said...

waoo,garinzuri sana hongerazako kanumba mungu azidi kukubariki ktk kazi zako,upate mafanikio zaidi. from-Finland.

Anonymous said...

Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake....hongera kaka yangu kwa hatua uliyofikia nafurahia maendeleo yako jitahidi utafika mbali zaidi huo ni mwanzo tu ukiwa mwaminifu kwa Mungu na watu wake na ukifanya kazi kwa bidii atakubariki zaidi na zaidi.


Zuwena Shivji

Albert said...

Kumbe ndiyo maana ulikua silent-silent muda wote huu? Ulikua una mpango kama huu wa kutu surprise?
Kwa kweli this is a big suprise and we're happy for this good news anyway!
Lakini punguza kasi kidogo!
Albert
Western Australia.

Johprise said...

Majuzi kati km niliiona kwa mbali hivi kaka....? i really liked it, hongera sana kwa hatua hiyo, God bless u more...!

Anonymous said...

Its great broo real great!am here with nothng to comment but i wana tell u that mimi ni mtunzi wa movie storie ad till now i gat tow stories namely
"THE MEDIAVAL AGE" and "THE THROAN" for now am schooling at school of library at bagamoyo:0713588228 is ma no.ma name z michael aka modo!blesses the great!

Anonymous said...

hongera, hayo ni maendeleo makubwa. sasa tunataka hadithi safi zenye mvuto. lumi - dar

Anonymous said...

hongera, hayo ni maendeleo makubwa. sasa tunataka hadithi safi zenye mvuto. lumi - dar

Do said...

Vizuri sana kanumba hongera kwa kuendelea kupiga hatua. Kila la heri Mwenyezi mungu aendelee kukusaidia upige hatua nyingine zaidi na zaidi.

Anonymous said...

hongera sana kaka angu. hayo ndio yanayotakiwa...maendeleo na bado naona kuna vitu vinanukia hapo bado...au nakosea mwanawane..mungu awe nawe kwa kila lako jambo..big up bro


dada
sanura.

Anonymous said...

congs bro.

Anonymous said...

hongera snaaaa kanumba mung akuzidishie ki ukweli unajidahidi saaaaana snaaaaaa.sasa uwe unaigizia hata huku mikoani kuna sehemu nzuri snaa.all the best

Anonymous said...

Big up kanumba unaendelea kichizi ila usisahau kumshukuru Mungu ndie alikufikisha hapo, kwa kweli sisi warundi tunakufangilia hovyo ila nikona hamu ya kuona iyo movie ya OFF side. good day swaiba wangu.

Anonymous said...

Congrats kaka!may God blec yeh

Anonymous said...

hongera hila mbona mumenunua magari sawa na ray au ndio uswahiba wa kweli safi sana vijana mungu akubariki ni kazi za mikono yenu pls vp kuhusu mzee kipara anaendeleaje?

Beauty Touch in Dar said...

mungu na akuzidishie mara mia moja, napenda kazi zako, zina matunda hai ambayo tunayaona, hongera sana, nimefurahi utasema gari yangu mimi lo!,
hongera sana kaka, PAMOJA SANA!!!!

azza said...

whaoooooooooo! hongera sana my kaka mungu akubariki na azidi kukuongoza kwa kila umnalofanya ..yaani nimefurahi sana kwa hilo hii ni hatua nzuri big up!its azzah!

azza said...

whaoooooooooo! hongera sana my kaka mungu akubariki na azidi kukuongoza kwa kila umnalofanya ..yaani nimefurahi sana kwa hilo hii ni hatua nzuri big up!its azzah!

Anonymous said...

Kanumba...u r gr8...u'v always been that way 2 me...coz nimekua nakuchek tangu nipo primary...enzi za kaole. Mungu aendelee kukubariki,songa mbele na endelea kusaidia chipukizi...lov u