Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 14, 2010

OFF SIDE YAZIDI KUPAMBA MOTO

Wadau bado twazidi kuisuka movie yetu mpya mimi na swahiba wangu ya OFF SIDE ambayo kwa sasa tumezidi kuongeza mastaa wengine ili kuboresha na kuongeza radha tofauti katika movie hii.Hapa hatuna masihara kabisa ni moto wa gesi. Chopa mchopanga nae yumo

kazini

The great kazini

Hili ndilo dude ambalo The great pioneer natumia katika movie hii

Kazi ikiendelea

Kuna wakati ambao msanii husika hawezi kucheza kipande chake kwa ufanisi mfano kuendesha gari kwa kasi,kuogelea nk...hivyo inabidi kuvaa nguo za mhusika huyo na kujifanya yeye ili kuipa nguvu scene kama anavyoonekana The great hapo alipomsaidia msanii fulani scene fulani japo ktk editing sitoonekana mimi bali msanii husika.

Swahiba akiwa makini sana maana hataki nimfunike hivyo anakaba hadi penati.

Mtu na kaka yake wakielekea mjini kutanua

Kikazi zaidi

Jamani hapa ilikuwa BALAA kuna hisia na makamuzi ya aina yake

Wee unafikiri hapa ilikuwaje ahahahahah i wish muone

Simba na Chui......Hatari...moto wa gesi wauzimaje?

4 comments:

Anonymous said...

tunaisubilia kwa hamu ila tu msisahau kutoa picha za wenyewe nyumba tukaona sura zao badala ya nyie hilo tu.

marimar

Johprise said...

Am happy the great kujua kwamba na mchops naye yupo kwenye offside... dah mori inazidi kupanda...really cant wait.

Anonymous said...

off side kweli kiboko. si ya kukosa wadau wenzangu. hongera SK the great

Anonymous said...

Fanyeni mazoezi, mnanenepa sana,ule muonekano wenu mzuri unapotea kwa ajili ya unene.