Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 8, 2010

PICHA ZAIDI KATIKA HARUSI YA THEA NA MIKE

JB na mke wake (Qeen)

Swahiba na Mwanamimi

The great nikimpongeza Bi harusi Thea

The great nikimpongeza bwana harusi Mike

Swahiba nae hakuwa nyuma kuwatakia kheri maharusi

Picha ya pamoja maharusi na wasanii

Ilifika wakati wa wasanii wa filamu kucheza mziki hapa JB akionesha staili yake ya Kadanse mpunda.

Ilifika zamu yetu maswahiba kila mmoja akisubiria tutafanya nini?

Kazi ikaanza si kitoto

Pastor Myamba na Johari kwa pamoja

The great,Dr.cheni na Ray katika mazungumzo ya safari

6 comments:

naima said...

yalaaaaa mbavu zangu mieeeeee,ha ha haaaaa kweli c kitoto.

Mama 2 said...

Uncle JJ ulitoka mchicha, bado harusi yako, tunaisubiri kwa hamu sana. Yaani hiyo lazima nikuchangie mwana wane ili nije kushuhudia uncle JJ kama wanavyopenda kukuita wanangu twins.

Albert said...

Nimependa sana hiyo mlipokua ma swahiba mlipokua mnasugua viuno, kumbe mnaburudisha na wasanii wenzenu siyo sisi tu tulioko nje ya Africa!
Albert.
WA.

Anonymous said...

Hongera sana Thea & Mike.i wish all ze best of luck & success in your marriage.I hope other they will follow step ahead.

Anonymous said...

THEA AND MIKE KEEP UR LOVE LIFE STRONG,DONT ALLOW INTRUDERS.

ITS A NICE STEP IN LIFE,TRY TO MAKE THINGS WORK OUT.

KANUMBA AND RAY I WANNA SEE U GUYS DANCE....LIVE...ITS LOVELY....I LIKE IT!!!

...RIQUE'S MUM

Anonymous said...

i love your work KANUMBA your are talented BIG UP, nitakusapoti kwa kununua CD zako original,

keep it up kaka
waburuzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

EK