Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 23, 2010

MOJA YA SCENE ZINAZOVUTIA KTK OFF SIDE

3 comments:

Do said...

Hii filamu inaelekea itakuwa bomba sana. Ina scene nyingi za nje, uoto wa kijani huwa unapendezesha sana kwenye picha. Kila la heri sie tumekaa mkaa wa kusubiri.

Kanumba nina ombi kuna dada mmoja umecheza naye kwenye filamu ya magic house. Hivi yule dada kacheza movie nyingine baada ya magic house? Kama kacheza please please naomba tu jina la hiyo filamu .
Nampenda sana yule dada anaact vizuri sana.

Anonymous said...

Allocation nzuri maeneo flani ya mbezi nssf,,je mnamlipa hata kidog mwenye nyumba?au ndio zile "poa mshkaji sisi bado underground" maana hamshindwi kupenda slope!
Hizi kazi zinalipa kwa msanii na wenye nyenzo za kupendezesha kazi zenu: Ni ushauri tu Bro,

Anonymous said...

mzee wa kunuti hii movie inaonekana si mchezo. keep it up bro