Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 28, 2010

MMMH PICHA YETU YA WEEK

9 comments:

Anonymous said...

ma swahiba wawili.good

Albert said...

Mnapendeza sana wadau, nawatakia maisha marefu na ya Furaha pia. Hata siku ya kufunga haruzi zenu itakuwa vizuri iwe siku moja.
Albert
WA.

Anonymous said...

wao nzuri sana

Anonymous said...

mmelipuka!!!! nashangaa vitambi havionekani yaani nyama uzembe zote kwisha! ni picha tuu imedanganya au ndo kahawa ya Gadna imefanya kazi!!

Anonymous said...

Dangerous Desire au Sikitiko Langu?

Anonymous said...

mmetoka vizuri sura zenu halisi tatizo linakuja pale mnapozidishiwa make up
kama kwenye ile film ya oprah aah too much

Anonymous said...

dah picha ya ukweli inapendeza sio malumbano tu kamueni haswa tunahitaji kazi zenu bora bt muache kucopy za watu

Hope said...

kanumba hiyo picha ndivyo mnavyotakiwa kuwa hivyo2 jitahidini mpunguze miili hiyo hapo mlikuwa mnapendeza sana ila sasa duuuh hamfai hata, mwabie ray aache kunywa ndovu. mnanenepa sana shoo inapotea bwana vipi vijana acheni hizi please.

Anonymous said...

Hii picha itakuwa ni enzi ziel za Filamu ya Johari nadhani.