Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 28, 2010

HAPPY BIRTHDAY MDAU WETU INO BARCHARD

Mdau mkubwa wa Rj company na Kanumba the great film ndugu Ino Barchard amesheherekea kuzaliwa kwake maeneo ya sinza mori jirani na ofisi ya Rj,watu watu wamekula na kusaza,The great nami nilikuepo kumpa sapoti mdau wetu maana yeye kila tukiwa location tukishoot huakikisha anatembelea mara kwa mara na kutoa mchango wake wa hali na mali.Happy Birthday Ino. The great,Ino Barchard,SwahibaWaalikwa wakijipiga vinywaji

The BIG TWO wakipata msosi ulioandaliwa na mdau Ino.

Chopa mchopanga,Slyvia,na Maya

Slyvia &Ino

1 comment:

Albert said...

Basi wacha na mimi pia kama mdau wa movies za Bongo, mimtakie Ino "Happy birth day!"
Albert
Western Australia.