Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 26, 2010

SEND OFF YA FAIDA EZECKIEL GRAYSON

Send off ya dada yake na muigizaji mwenzetu Aunty Ezeckiel Grayson ilifanyika ukumbi wa E stana kijitonyama,ilijaza watu wengi na watu maarufu,Matron wake alikuwa muigizaji mwenzetu Mayasa Mrisho..tizama picha chini. Maya na bi harusi mtarajiwa Faida
Watu wakiserebuka

Faida na Maya

Waigizaji wa kike walishirikiana vizuri na Aunty hakika hili ni la kujivunia4 comments:

Anonymous said...

love it! wadada mlipendeza sana, Royal Blue always is shining!!!
@tweety

Anonymous said...

kanumba mavazi yanakuangusha mbn unakuwa km m2 wa kutea wakati una demu mwanamitindo???????

Anonymous said...

Kweli nimeikubali ilikuwa na mvuto wa kufa mtu. Kweli jamaa kajichukulia kilichochema....Kizito!!

Anonymous said...

sikuizi mapaja nje ndo fashion au?