Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 10, 2010

OFF SIDE BADO NI PATASHIKA NGUO KUCHANIKA,FULL KUFUNIKANA.

The greatest na The great pioneer

Tukishauriana jambo

The great nikijiandaa kupita ktk camera,

Irene Uwoya na The great makamuzini

I wish muone hii scene ni balaa

Hapa ndipo nilipomkubari zaidi Uwoya maana alionesha uwezo wake wa ziada kama msanii

Kazi ikiendelea

JB na Irene Uwoya

Naomba nisiseme kitu ila fikiria mwenyewe hapa JB,Uwoya,Ray,Kanumba,huo moto ukoje hapa?

Next level hii

12 comments:

Papaa said...

Kaka Hii imesimama kama nini?

naima said...

off side inaonekana itakuwa kali kinoma kwa picha tu inaonyesha yani funika ilembaya,irene kapendeza,kila la kheri ktk maandalizi.

Anonymous said...

Inatoka lini jamani hii picha? Mana ake si mchezo inaonekana ni moto kushinda Oprah, hongerani wote mdau wa Norway kwa hamu tunaingoja.

Albert said...

Naona mambo ni hatari, sijui nani atamfunika mwenzake hapo...
Irene ni msanii wa kike ninaemkubari kwani mpaka sasa hakuna sijaona msanii mwingie wa kike anaekamua kama yeye...
Keep up Sister!
Albert
WA.

Anonymous said...

Ray manyonyo lol! fanya gym utatisha kijana bado mdogo.

Anonymous said...

JB na Irene Uwoya wamependezana kweli.Inabidi iwe kweli na sio kuigiza

Anonymous said...

Hii seems to be kiboko,ni bonge la picha..me cant wait!!shusheni mzigo,imesimama tena imara.
Leene

Hisham said...

mhh kuwa na mke mcheza sinema kazi kweli kweli manake si neema!

Anonymous said...

Ray kumbe ana matiti duh!!!

Anonymous said...

kwa kweli wote mnatisha. jb namkubali sana. yani hebu fanyeni haraka tunaingoja kwa hamu. lumi-dsm

Rowland R said...

Daah!,
Waheshimiwa kwanza nawapongeza kwa vile inaonesha Sanaa inakua kwa kasi Kinoma, yaan hapa shauku ya kuiona hiyo Filamu iko Degree 158.
I wish you all the Best.

Anonymous said...

Mimi Irene tu ndo ananiacha hoi. Je alivyokuwa hajaolewa ilikuwaje? maana Duka kila picha analiacha wazi..........Kizito!!