Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 28, 2010

TOKA OPRAH NA SASA OFF SIDE

Mwaka 2008(OPRAH) Irene Uwoya na Kanumba

Ray na Kanumba

Maeneo ya Zanzibar,Uwoya,kanumba,maya,ray na Aunty.

Mwaka huu 2010(OFF SIDE) Uwoya na Kanumba

Kanumba na Ray katika Off side

10 comments:

Albert said...

Ni kweli Filamu ya Oprah ni kati ya movies zilizowa promote sana na mimi mpaka sasa naikubali sana na sichoki kuiangalia.
Naamini OFFSIDE itakuja na mambo mapya kuzidi yale ya Oprah.
Tunawaamini sana wadau endeleeni na kazi tunajua hamtatuangusha.
Albert
Western Australia.

Anonymous said...

mavazi yako ya off side sio wala nini t-shirt na tai kila mara vitop vya kubana sn mpk vinakutoa maziwa, mi nakukubali sn ila mavazi kwakweli hpn

Anonymous said...

2008 mlikuwa na afya nzuri, kwa sasa mmhh....fanyeni mazoezi jamani

Hadj Drogba "mwana chelsea" said...

oprah was good,but mwambie Raymond kigosi kwamba mashati ya kung'aa sasa basi inatosha...atoke kivingine mbona pamba ziko kibao kitaani

Anonymous said...

uwoya mambo habari ya cyrpus mzee hajambo

Anonymous said...

KANUMBA NA RAY HIZO MAKE UP ZENU JAMANI HAPANA. MMEKUA KAMA WA KONGO WALIOJICHUBUA PLEASE........... U GUYS ARE GOOD LOOKING AVOID THINGS THAT MAKE U TOO ARTIFICIAL

Anonymous said...

wewe mzee anakuhusu nini lakini ndoa si mchezo unaweza kuoa kumbe galasa

Anonymous said...

hivi huyo Maya mbona huwa tuko rough sana?mwambieni awe anajiweka mafi, unene si hoja.ananikera!

Anonymous said...

hi..4 sur ur the great...keep on movin till u reach the peek..!i love your work,its amaizing!..all u need is just some little changes en off u go pursuing ur goalz..let money en fame nt blind-fold u...ur are a star en by the way reduce the make-up!

Anonymous said...

peace en love