Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 6, 2010

POSTER LA OFF SIDE JINSI LILIVYO

Poster la OFF SIDE ndio hilo wadau,ni moto wa gesi huooo upo hapo mdau wetu Albert Felix Birashoboka wa Australia?Dada Sanura Dernmark,Abou Dernmark.Dada Sharifa kalala Washington Dc?na wadau wote popote pale mlipo tumefanyia kazi maoni yenu.

7 comments:

Albert said...

Ndiyo kaka tuko pamoja na nimeshatabiri kwenye blog ya Ray kwamba wewe ndoo utakua OFF SIDE kwani hata kwenye Poster inaonekana...!!!
Kwa kweli mzigo tuko tayari kuupokea kwani tunaamini kwamba kile mtakachokitoa kama ma super stars, kitakua Bomba. Kwa mfano kama The village Pastor, Crazy Love na more than Pain mpaka sasa sichoki kuziangalia.
Keep up, tunaamini kazi zenu wadau!
Albert
WA.

Do said...

Tunasubili kwa hamu zote. Cover hapo juu ukiangalia unasema waooo sasa mambo ya ndani si sio mchezo.
Mmefanya vizuri sana kucheza film pamoja. Naangalia kila film ambayo unatoa na swahiba wako anatoa na wasanii wengine Tanzania sipitwi. Film kila mmoja anazotoa nzuri sinafurahisha kuangalia na zinaleta mafunzo katika njia moja au nyingine kwa jamii. Sasa film ambazo mnakuwa wote zinakuwa nzuri mnoooooo the best of the best. Good luck

naima said...

waoo,mh mi chichemi hapa chi mchezo..

Anonymous said...

kwa kweli kaka angu kanumba nimefurahishwa sana na mzigo wa safar hii kuwa pamoja na swahiba wako...ray na hakika hii itakuwa funika bovu...na hivi kuna irene nampenda sana mkiwa pamoja ray irene,kanumba na jb...kwa kweli naona nachelewa kuipata..na uhakika tutacheka sana umo na tutaupenda huu ujio wenu wa sasa...mm nazid kukupa hongera sana kaka kanumba na ray...na wote mloshiriki mzigo huo..mungu awabariki na kazi zenu


DADA...SANURA.
DENMARK.

Anonymous said...

nimependa sana mlivyofanya movie ya pamoja...naisubir kwa mikono miwili..najua itakuwa fundisho la weng.


uncle.sherry abou
dk.

Anonymous said...

me hata chichemi kitu naisubiri tu sijui itazidi ile ya Oprah au mmmh chijui niko stend by tu. all the best

Furaha
Mabibo Dsm

Anonymous said...

Na mnavyopendaa hizo suit zenu za kung'ara mpaka basi,kila shughuli.