Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 7, 2010

HARUSI YA THEA NA MIKE YAFANA SANA

Harusi ya wasanii wenzetu wa filamu Ndumbagwe Misayo(Thea) na Mike Sangu(Mike) iliyofungwa leo kanisani na kusheherekewa vizuri ukumbini na watu mbalimbali imefana sana,The great na blog hii twawatakia maisha ya amani na upendo daima. The great na Nteze

Bwana na bi harusi na wapambe wao wakisikiliza vizuri nasaha za wazazi

Baba wa Thea akitoa nasaha zake

Chiki ndiye aliyekuwa MC wa shughuli hiyo nae pia hivi karibuni anataraji kufunga ndoa

Wazazi na maharusi ktk picha ya pamoja

Monalisa na mdau toka America

The great,Emmanuel myamba na Coco

Wanameremeta

Wasanii mbalimbali maarufu walikuepo

Immaculate,Mwanamimi na Johari

7 comments:

Albert said...

Hongera sana Dada Thea kwa hatua nyingine ya maisha, Mungu akutangulie...
Albert

naima said...

asante kwa picha nzuri thea umependeza sana,kila la heri ktk maisha yenu yandoa.

BQ said...

mh ila huyo Johari amekaa uchi sana, otherwise harusi nzuri sana hongera Thea

Anonymous said...

Ongera sana dada thea nakutakia maisha mema na mumeo.

Anonymous said...

hellow hongera sna thea mungu awabariki na ndoa yenu idumu, usiwaruhusu hao magubegube kumzoea mume wako mume na mke na aheshimiwe na watu wote.

Anonymous said...

hellow hongera sna thea mungu awabariki na ndoa yenu idumu, usiwaruhusu hao magubegube kumzoea mume wako mume na mke na aheshimiwe na watu wote.

Anonymous said...

HUYU DADA MZURI SANA NA HARUSI NZURI SANA NAAMINI MIKE UMEPATA MKE,HONGERENI SANA.

MBONA HAKO KALULU HAKAKUONEKANA HUKU AU NDO AIBU?KAREKEBISHENI KATOTO KAKO MBIO KAMA FATAKI!!!!

WASANII BIG UP KWA KUWAPA WENZENU SUPORT,HUO NDO UDUGU ILA JOHARI UMEHARIBU UMEVA UCHI SANA,MIPAJA YOTE NJE ,NEXT TIME KUA MDHUNGU UNAPOVAA NGUO FUPI,MMEPENDEZA WOTE


....MAMA...RIQUE