Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 22, 2010

BAADA YA KUMALIZIKA KWA KISHINDO SHOW YETU YA MWISHO BUKAVU MBUNGE WA BUKAVU ALITUKARIBISHA KWA CHAKULA NA VINYWAJI HOTELINI KWAKE MIMI NA SWAHIBA.

Honorable DAVID OMBENI Mbunge wa Bukavu akiwa mjini Kinshasa katika kikao chao cha mwisho cha bunge la DRC alipata habari kuwa katika jimbo lake vijana tumefika hivyo basi kutokana na kwamba alishindwa kuhudhuria show zetu zote za Bukavu jioni yake alipanda ndege na kutualika mimi na swahiba katika Hotel yake ya kifahari ijulikanayo LE V.I.P HOTEL kwa ajili ya chakula cha jioni. Kutoka kushoto wa kwanza ni dereva aliyetumwa kutufata,wa pili nae ni mbunge,Swahiba,The great,Honorable David Ombeni na Socrates.

Mheshimiwa David,Swahiba,Sonia(mtoto wa mheshimiwa mmoja Congo)The great na mheshimiwa mbunge.

1 comment:

Anonymous said...

naona mmetulia wazee na ngozi ya mtume...kwa jinsi ninavyowajua tutamwona bongo huyo.