Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 12, 2010

ILIPOFIKA WAKATI WA MZIKI HALI ILIKUWA HIVI...

Mchekeshaji Kiwewe akitoa show

The great,Chiki,Sajuki na bendi ya mashujaa tulipanda jukwaani kuimba wimbo wa enzi zileee uitwao PESA POSITION wa marehemu Franco(DRC)

The great nikimwaga vocal katika vipande alivyoimba marehemu MADILU SYSTEM katika wimbo huu.

Sebene likaanza bwana weweee

Watu wakajaa mbele kuserebuka

Nikaona isiwe tabu bwana hii ni harusi ya msanii mwenzetu wacha nidance bwana

4 comments:

Albert said...

Cha kufurahisha sana ni jinsi wasanii mlivyo na umoja. Endeleemi kusapotiana na ndo mtafika mbali!
Anyway, harusi imependeza sana sijui ya kwako itakua vipi!
Albert
WA.

Anonymous said...

Da Kanumba kumbe wayaweza mayenu kweliii hongera kaka.

Anonymous said...

Kanumba you are something.love you. Ya kwako lini au bado unadonoa?

Anonymous said...

Ya bro kanumba , yeye bado hajazaliwa, luv bro.