Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 31, 2010

HAPPY BIRTHDAY DADA SANURA HUSSEIN

The great na blog hii twakutakia maisha mema na baraka huko Dernmark.... Dada Sanura ktk pozi

The great na Da Sanura siku aliponitembelea location kwangu nilipokuwa nikishoot movie yangu ya YOUNG BILLIONAIRE na yeye akashoot scene mojawapo humo.

6 comments:

Anonymous said...

Mh! Sanura kaolewa? Naona ni chombo cha ukweli!.......Kizito!

Anonymous said...

jamani uyu dada nampenda kupita maelezo..ni mrembo sana anavutia kwa kweli..hongera kanumba kwa dada mzuri kama uyo.happy bday dada sanura.

mdau.kolner kidubo
shinyanga

Anonymous said...

omg..asante sana my bro kanumba nimefurahi kwa kunitakia bday njema na mwaka mpya..nami sina budi kusema ..heri ya mwaka mpya kwa wote wanaonitambua uko nawapenda sana...

da
sanura
denmark.

Anonymous said...

mashallah ni mrembo ... happy bday to sanura nakutakia kila la heri maishani mwako

Anonymous said...

happy bday..mrembo unatisha mtt.

Anonymous said...

mmh dada ana jicho uyo si mchezo.wa bongo uyo ama wawapi kanumba `?