Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 1, 2010

MASHABIKI WETU WA CONGO OFF SIDE HIYO TWAWALETEA

Mashabiki wetu wa Goma,na Bukavu nchini DRC ndio watakuwa wa kwanza kuiona OFF SIDE pamoja na baadhi ya wasanii walioshiriki humo na wengine ambao mashabiki mmeomba kuwaona,ni December hii,nani anakuja ni The great na swahiba,Irene Uwoya,Aunty Ezeckiel na Mtoto Jeniffer,lakini pia tutawapa burudani jukwaani kwa mda wa dakika 30 mara baada ya kuzinduliwa OFF Side.kazi kwenu sasa.

4 comments:

Kasule said...

yeah The Great kazi unayofanya na Swahiba wako mara zote iko juu.Big up brother.

Anonymous said...

Kanumba Mshikamano unaanzia nyumbani vipi wewe unataka kuanzia Bukavu? Acha utani lete vitu home tuvione.......Kizito!!

Mama Malaika said...

Huu mzigo lazima utakuwa mkali vichwa vimo Kanumba aunt ezikiel mdogo wangu mwenye kwenye this is it, Ray lazima itakuwa bomba mbaya kali kuliko hongereni kwa sana.
Tupeni raha mashabiki tunawafagilia kinoma haswa kanumba kazi zako ziko makini although si 100% percent coz binadam hatujakamilika ila kijana nakupa big up kwasana....

Albert said...

Vizuri sana wadau, ila msimalizie DRC tu, na Australia muanze kuifikiria...
Albert
Western Australia.