Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 11, 2010

HARUSI YA CHIKI YAFANA SANA.

Harusi ya msanii mwenzetu na kiongozi wa kaole sanaa group Salum Mchoma(Chiki)imefana leo katika ukumbi wa new msasani beach(makuti).Harusi hii imehudhuriwa na watu mbalimbali maarufu na wadau mbalimbali wa tasnia hii ya filamu.The great na Blog hii inamtakia maisha mema na mazuri Chiki na mkewe yenye furaha na amani. Mama Dotinata akiwasimamia maharusi kwenda ktk chakula

Bi harusi akikinga chakulaFuraha ya ndoa maana hata sahani unabebewaThe great nikimpa mkono wa pongezi Chiki kwa kupata jiko nikimtania kidogo kuwa nami ipo siku nitatimiza maandiko ya Gehova.

Mike na mkewe(Thea)waliofunga ndoa yao juzi tu nao wakisogea katika chakula

Dr.Cheni ndiye alikuwa MC wa shughuli hii,hapo akiwa na Steve baunsa(mwana poto)

Mzee wetu Kipara nae alikuepo

Burudani mbalimbali zilikuepo nami nawaahidi kuendelea kuwaletea picha mbalimbali za matukio ktk harusi hii ya kupendeza...endelea kutizama blog hii yako kila mara.....kwa sasa wacha nilale kwanza tuonane kesho.

5 comments:

Albert said...

This very good Bro...
Wasanii takribani wote wamejipatia ma jiko amebaki tu The great na Greatest sijui mnasubiri nini!
Changamkeni basi, miaka haiwasubirii inazidi kusonga mbele.
Albert
Western Australia.

Anonymous said...

Hongera sana kwao, ni hatua kubwa walioifikia!... Mungu awaongoze.

Anonymous said...

Da bado wewe sasa Kanumba zamu yako

Anonymous said...

usikazane kuweka harusi za watu, weka ya kwako sasa!... unasubiri nini bro?????????.....
hebu turetee huyo wifi basi mwambie na swahiba wako

Mama J

Anonymous said...

hiyo ni nzuri sana na inaonyesha ushirikiano wa wasanii ila dah mshkaji killa siku unaweka za watu tu zako ataweka nani jamani, hebu fanyya fanya mambo muda unakwenda wewe.
helen mangare