Katika ofisi za ASET ndipo ilipofanyika hitma ya aliyekuwa mwanamziki na meneja wa bendi ya African stars(twanga pepeta) Abou Semhando,ambayo ilihudhuriwa na watu mbalimbali maarufu.
Dua ikisomwa
Mzee Mapili nae alikuwa na machache ya kusema
Swahiba,The great na Fargason tulikuepo
Watu mbalimbali
Mkurugenzi wa ASET mama ASHA BARAKA akihojiwa na wana habari
Mambo ya msosi
1 comment:
Dua ya kumuombea marehemu ni maelekezo ndani ya dini na dini ni mfumo mzima wa maisha hivyo tunavyomuombea mwenzetu aliyetangulia maana yake ni tunamuomba Mwenyezi mungu amsamehe dhambi zake na amuweke mahali pema na amuingize peponi, ndio maana yake hiki ni kitu serious..... lakini nashangaa siku hizi khitma zinafanywa kibitozi. Hapo hapo katika hiyo dua kuna taratibu na mambo mengi yanayomghadhibisha Mwenyezi mungu yanafanyika.....
kweli lengo hasa tutalifikia au ni kutaka kuonyesha ubishoo katika kila kitu hebu tuchague vya kuvifanyia masihara na si katika haya mambo ya dini hasa Uislam.
Post a Comment