Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 31, 2010

NDOA YA KIMILA YA MUIGIZAJI MIKE EZURUONYE

Nyota wa filamu nchini NIGERIA Mike Ezuruonye tarehe 22 May 2010 alifunga ndoa ya kimila kijijini kwao Mbano-Imo state na mkewe Nkechi Nnorom.Nchini Nigeria ndoa ya kimila huwa ni muhimu sana ifanyike kuliko hata zile tulizozoea hapa kwetu..hivyo kwa wenye uwezo hulazimika kufanya ndoa mara mbili yaani ya kimila na ile ya kanisani au msikitini kama alivyofanya hata msanii Ini Edo...Tizama picha zake hapo chini na wasanii wenzake walivyompa sapoti ya nguvu. Nkechi na Mike

Wapambe wakiwa katika sare

Wasanii wa kike waliokuja kumsapoti Mike,kutoka kushoto ni Ini Edo,Chioma chukwuka,Tonto Dikeh,Jack Apiah,Uche Jombo na rafiki yao

Jack Apiah akiwasili kijijini

Ini Edoh nae akiwasili kijijini

Tonto Dikeh nae akiwasili kwa haraka

Desmond Elliot moja kwa moja alienda kumkumbatia rafiki yake mara baada ya kuwasili kijijini.

Chika Ike mwenye top nyekundu nae alikuepo

Mchekeshaji maarufu katika filamu Chinedu Ikedieze nae alifika

Chioma na Uche

1 comment:

Anonymous said...

Kanumba haya Majina ndugu yangu Kiboko. Nikimaliza kulisoma baada ya dakika moja tu silikumbuki tena hilo jina.

Ndoa ni ya kimila mbona jamaa(waalikwa) wamevaa kimjini?mjini?..............Kizito!!