Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 25, 2010

SHOW YA PILI UWANJANI GOMA-CONGO

Jenipher akielekea kuwasalimu mashabiki

Akiwa mbele tayari kwa kutoa salamu

mmmh?

Aunty akielekea kusalimu mashabiki

Johari akisalimu mashabiki

Irene Uwoya akiinuka kuwasalimu

AkiwakaribiaNikitoa salamu kwa mashabiki

Swahiba nae akitoa salamu

The great nikifungua show kuanza..

Mambo yameanza..

Swahiba nae akafata kama unavyomuona

5 comments:

Anonymous said...

safi sana ila dada zetu mavazi jamani..hebu ona hicho kikaptula cha aunty dah jamani kweli mwisho wa dunia..kwani wangejistiri wanakuwa wabaya au mpaka wakae nusu uchi ndo tujue wazuri

Albert said...

Nimekosa la kusema kwani kwa picha hizi nimejionea mwenyewe jinsi hali halisi ilivyokua. Mugu azidi kuwaongoza wadau kazi zenu zisonge mbele...
Albert
WA

Anonymous said...

jamani vivazi lol

Mama 2 said...

Yes bro! Off Side ni nzuri ila punguzeni malovee! mkiingia kitandani tu mkatishe, tunaangalia na watoto wetu, mpaka mtoto wa miaka 5 ajue baba na mama wanafanyaga nini kitandani. Si unajua watoto wa siku hizi hawakawii kukuuliza. Otherwise Big up kwenu.

Anonymous said...

jamani wasanii mnatakiwa muende shule mkajifunze mavazi ya kuvaa wakati gani na kipindi kipi! kwa kweli kazi nzuri mmeifanya congo but mavazi ya hao wadada!!! katika kwenda mahali kuonesha choo wadada wavae mavazi ya heshima pale kuna wababa watoto etc na waheshimiwa hatupendi kutangaza tanzania ya wahuni bse hayo mavazi ni ya kichangudoa wakiwa mawindoni nendeni shule mkajue nyakati na majjira ya mavazi yenu, tena mngetilia mabatiki bazee magauni makubwa mnge pendeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa