Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 12, 2010

PICHA ZAIDI KATIKA HARUSI YA CHIKI

Kama nilivyoahidi kuwapa picha zaidi za matukio katika harusi ya msanii mwenzetu Salum Mchoma(Chiki)nazo ndio hizi... Mzee wetu Kipara alikuepo

Ngoma ya asili toka kaole sanaa group ilisisimua sana watuSajuki na mkewe(Wastara)nao walitumbuiza kwa wimbo mzuri

Kwa furaha Nova alimbeba juu juu bwana harusi

Bi mwenda akilisakata rhumba na Nova

The great nikipata picha na maharusi

William Mtitu na Bi mwenda

Umoja wa wasanii wa filamu ulionekana

Raisi wetu wa shirikisho letu la wasanii wa filamu Simon Mwakifwamba akitangaza zawadi ya wasanii kwa maharusi ambayo ni kulala katika hoteli ya kifahari ya Sunrise beach katika honeymoon yao kuanzia leo.

wasanii na maharusi

Dude akitangaza zawadi ya mabati toka kwa wasanii.

5 comments:

Albert said...

Umoja ni nguvu! Wasanii mkiendelea kuwa hivo mtafika mbali!
Albert
WA

chidifanta2005 said...

mimi tatizo langu moja ni filamu zetu za kibongo (mnaweka uzungu mwingi siku hizi watu wanakula denda kama kawaid hii haifai kwani tunatoka nje ya misingi ya kiafrika ila sinema zenu nzuri sana na mnaeleke kuzuri na kwenye mafanikio,kwa filamu ya uncle jj hii iko natural sana mpaka raha na inaleta mvuto ktk kuangaliya,lakini inakosoro moja pale jangwani hapakufaa kuwa kijiji kwanini msingeenda hata uzaramuni kwali pale pamepoteza uhalisia kwani magorofa yaneoneka kwa sina mengi nakutakia mafanikio mema

Anonymous said...