Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 22, 2010

SHOW YETU YA PILI BUKAVU

Show yetu ya pili mjini Bukavu ilifanyika uwanjani ambapo umati ulikuwa ni mwingi sana kitu ambacho kilipelekea watu wawili kufariki,na wengine saba kulazwa hospitali kama majeruhi.Mungu alaze pema roho za mashabiki wetu waliopoteza maisha yao(Bukavu) maana lengo lao lilikuwa jema kutuona sisi,Na walioko Hospitali twawaombea uzima na afya tele zaidi ya yote twawapenda sana,lakini twashukuru kwa upendo wa dhati mliotuonesha,MUNGU IBARIKI BUKAVU. Irene Uwoya akiingia uwanjani huku akilindwa na askari polisi na wanajeshi.Huku anajulikana sana kama Oprah.

Tukiwa stejini tukiwapa raha mashabiki wetu

Hii ni sehemu mojawapo ya umati wa watu uliofurika uwanjani

Upande mwingine.

1 comment:

Albert said...

Kusema kweli ninakosa kitu cha kuongea... Wakati mwingine ninapokua home mapumzikoni hua naangalia movies za ki Bongo ila nilikua sithani kwamba wapo wengi ambao wanafagilia kazi zenu kama mimi.
Kazeni buti mtawafikia wale wa hoolywood wadau!
Albert
Western Australia