Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 7, 2010

URBAN PULSE YATOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA WOTE WALIOHUDHURIA ANNIVERSARY YAKE

Uongozi mzima wa Urban Pulse unatoa shukrani za dhati kwa wadau na watu mbalimbali waliojitokeza katika anniversary ya mwaka mmoja katika biashara. Actress Linda wa Lovely Gamble alikuepo

Amina,Frank na Nocha kwa pamoja

Dj Wailala kama kawaida alikamua

Hakika palikuwa hapatoshi

Wadau mbalimbali wakiwa na mzee wa nyuki Frank EyembeJames na Salim wakishow love

Jesse na Gerald nao walikuepo

Watu wakiserebuka

Safina na Salim kwa pamoja walikuepo

Wadau,Jesse,Baraka na Chriss kwa pamoja wakiwakilisha

No comments: