Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 5, 2010

THE GREAT KANISANI(A.I.C.T CHANG'OMBE)

Juma pili ya leo The great nimesali kanisani katika kanisa langu la kila siku.Wahumini tukiwa kanisani

Muhubiri akihubiri neno la Mungu

Baada ya ibada the great nilipanda juu kupiga gitaa katika kwaya niliyowai kuimbia enzi zile,nilikuwa nikipiga gitaa la bass.

Tukishauriana tupige mziki katika key gani?G,F,D au?

Mziki umekolea,The great nikicharaza gitaa la bass kwa utaalamu

Baada ya ibada na kupiga gitaa niliingia katika gari langu na kuelekea home

8 comments:

Anonymous said...

unafanya vizuri kwenda kanisani nivizuri kuwa karibu na mungu zikuzote kwanindiye anayetulinda na kutufungulia milango ya baraka yaani unapendezea na hilo gitaa ungendelea tu kuimba kwaya kwani nadhani haitahadhiri kazi yako ya uigizaji tena unajua kuimba unavipaji vingi kijana mungu akulinde na akubariki

Majoy said...

That's gud si unajua Biblia yasema tumkumbuke muumba wetu cku za ujana?hongera the Great kwa kumkumbuka Mungu

Anonymous said...

Haleluya hakuna jambo jema kama kumtanguliza MUNGU kwa kila jambo hivyo basi kaka utazidi kubarkiwa mpaka ushangae,
]Mtoto wangu wa kiume anapofanya kitu kivirui huwa namwambia gud boy!!!!!!Now big up bro

Anonymous said...

Hi Kanumba (The Great)!
Nimesikitika kusoma kwenye gazeti moja la hapa nchini kuwa wewe haupendi ushauri! Mdogo wangu kumbuka katika sanaa kuna kukosolewa na hapo ndipo kazi inapokuwa nzuri zaidi! Hatusemi ukubali kila ushauri bali kuna ushauri wa kuchukua na wakuacha. Kwa hiyo hebu jaribu kuwa mnyenyekevu kidogo katika hilo!

Kila la kheri katika kazi zako za kila siku.

Anonymous said...

Jipe moyo utashinda maana majaribu ni mengi.........Kizito!!

Anonymous said...

Unavaa pete umeoa bwana mdogo?

Anonymous said...

KWENDA KANISANI MPAKA UJITANGAZE NI WAZI KUWA HUWA HUENDI!!

Anonymous said...

Kaza mwendo kumpenda Mungu, anza tena kuimba,Mungu amekupa sauti itumie kumsifu, nakumbuka enzi zile Neema choir ulivyokuwa unaigiza ilikuwa safi sana, so Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako kabla hazijaja cku mbaya.
Keep it up bro