Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 31, 2010

BAADA YA NDOA YA KIMILA MIKE EZURUONYE AKAMALIZA KWA NDOA YA KANISANI

Jumamosi ya tarehe 13 November 2010 msanii wa filamu wa Nigeria aliyefunga ndoa ya kimila mwezi wa tano alidhihirisha nia yake kwa kufunga ndoa yake kanisani na mkewe Nkechi Nnorom a.k.a Keke.(si msanii wa filamu)Uhusiano wao ulianza miaka 2 iliyopita wakati Mike alipokuwa akishoot movie kwao na Nkechi wakati huo Nkechi alikuwa akisoma nchini Canada hivyo alikuwa amekuja rikizo ndipo mambo yalipoaanza.Mike alimsuprize Nkechi siku ya birthday party yake kwa kumvalisha pete ya uchumba tayari kuelekea katika ndoa,,,hatimae tarehe 13 ya Nov chini ya bestman wake ambae nae ni star wa movie Nigeria (Nonso Diobi)akatimiza andiko. Bestman Nonso Diobi akitoa shukrani kwa waalikwa ukumbini

Mmmmhh.....

Mr&Mrs Mike Ezuruonye

Wakikata keki..hakika ni keki ya aina yake

LovelyWapambeWakionesha vyeti vya ndoa

Pete kidoleni

Kanisa lilipambwa hivi

Gari ya kifahari hummer limozin ndio alikuja nayo bwana harusi

Hii alikuja nayo bibi harusi...Picha na Bella Naija...Thank u Bella.

4 comments:

Anonymous said...

ASANTE, TUNAKUSUBIRI WEWE

Anonymous said...

Mungu awabariki Waishi maisha marefu Yenye amani na utulivu........Kizito!!

Anonymous said...

Kanumba nawe inabidi ufanye vivyo hivyo,umvalishe pete ya uchumba rafiki yako wa kike siku ya Birthday yake

Natumaini kuwa harusi yako itakuwa Baabu kubwa

Anonymous said...

haya nyie wasanii wa bongo mnaona harusi za wenzenu zinavyokua?nadhani kipo cha kujifunza kwao