Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 22, 2010

SHOW YETU YA KWANZA BUKAVU-DRC

The great nikisikiliza maelezo jukwaani kabla ya kupanda,pembeni ni mwenyeji wetu.

Jeniffa nae akiteta jambo na mwenyeji wetu

Aunty na Johari wakipiga kinywaji aina ya Primus(pelisa ngwasuma)kabla ya kupanda jukwaani

Me na Swahiba tukitambulishwa jukwaani.

Show ikaanza,tulifungua kwa sebene la kufa mtu mimi na Swahiba ukumbi ukalipuka kisawasawa

Aunty,Johari na Jeniffa wakiwa tayari stejini

The great nikiendelea kukamua

Mmoja wa ma bosi wa kampuni ya Steps entertainment Jairad tuliyeenda nae akipose kwa picha na Jennifa

1 comment:

Anonymous said...

kweli mlipokelewa kama marais inatia moyo sana nikumshukuru mungu kwa mapokezi makubwa mliyoipata kwali nabii hakubaliki kwao bali nje nimeamini kwahaya mapokezi mliyoipata msilewe sifa bali zidisheni ufanisi katika kazi yenu mungu nazidi kuwabariki nakufanikisha zaidi kazi zenu kanumba nakuomba sana usinywe pombe ni hayo tu