Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 12, 2010

BAADA YA KURUDI TOKA NYUMBANI SHINYANGA SASA NAENDELEA NA SHUGHULI ZANGU ZA KILA SIKU KAMA KAWAIDA.

Asha baraka mkurugenzi wa Aset,The great na Richard ktk ukumbi wa Billcanas katika kutangaza mshindi wa zawadi ya kudance vizuri na nidhamu wa Bendi ta twanga pepeta.


Nikimtangaza Asha sharapova kama mshindi.

Jokate na The GP maeneo ya ukumbi wa Little theatre nilipofika katika kupiga picha za tangazo la kampuni fulani ya simu.

The great na Elsi maeneo ya little theatre

Hayo macho jamaniNilikutana na mtayarishaji mahiri wa music Tanzania Master J nae alikuepo katika kupiga picha za tangazo.

Nancy sumari kwa pamoja na mimi katika kupiga picha za tangazo la kapuni moja ya simu jina naficha kwanza,inaonekana hili tangazo litakua ni balaa maana mastaa mbalimbali kutoka kila sekta ya burudani walikuepo yaani filamu,urembo,mziki,mitindo n.k.


Rehema,the GP na Boby...little theatre

Ndani ya Billz The Sultan GP,Asha baraka na swahibaA wonderful actres Aunty ezekiel Grayson Jujuman Rehema Gwantwa akiwa na kaka zake The big 2.ndani ya Billz kusugua kisigino.wacha tuinjoy kidogo maana shooting huwa tunapata taaaabu kwelikweli.

8 comments:

Ester Ulaya said...

nahisi ni zain, hizo Colour hizo, haya bro yetu macho

Anonymous said...

Bro Kanumba hiyo camera yako haina flash au umenunua china? Picha hazina mvuto wakuziangalia zinaumiza macho tafadhali rekebisha mbaya mbaya

Anonymous said...

Karibu mwa kwetu.
kila la kheri.


disminder.

BQ said...

jamani Kanumba embu nisaidie kuhusu hilo jina la Aunt Ezekiel mi kama vile huwa silielewi elewi?ni la kike au vp?

Anonymous said...

tupe habari bwana au uko bize na kazi za hapa na pale.

Tibella said...

hiyo picha na jujuman imetoka bomba

Anonymous said...

kaka mbona kimya blog inalala,mcheki mwenzio ray yuko updates

Anonymous said...

huyo saguda nimemwona picha yake yuko wapi,jamaa ni kichwa sana