Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 30, 2010

BIRTHDAY YA NICE CHANDE YAFANYIKA KATIKA BOAT KATIKATI YA BAHARI YAFANA SANA

Tino akicheza mara baada ya kutoka kuogelea katika visiwa vya bongoyo

Hapa mzuka ulimpanda akacheza sana wakati boat inakwenda

Alianza hivi kabla ya kuvua shati

Watu mbalimbali maarufu walikuepo,watangazaji wa tv.waigizaji,wanamziki na wadau

The great nilichukua tahadhali mapema kwa kuvaa boya japokuwa safari na party nzima ilikuwa shwari kabisa

Nice chande akimlisha keki mdogo wake Neema chande

Akikata keki tayari kwa kuliwaKeki yenyewe kabla ya kukatwa

Watu wakiparty

Nikiteta jambo fulani la kazi na production manager wangu Maya

The great nilipewa nafasi ya kuongea machache

Musa wa kipindi cha USWAZI eatv ndiye alikua MC wa party nzima hakika alimudu vilivyo

Wadau wakubwa wa RJ COMPANY na KANUMBA THE GREAT FILM walikuepo,kwa mbali mwenye miwani ni mdogo wangu Yusuph Mlela

Hii ndio boat yenyewe ambayo shughuli nzima ilifanyika humo.

2 comments:

Anonymous said...

kulikuwa na fog siku hiyo!!!! au ni matatizo yetu yale ya camera

Anonymous said...

Kanumba naomba nikushauri,uwa inavutia sana na inakuwa more profesional kama mkianza kutovaa nguo mlizovaa kwenye movie mtaani.inakuwa haina raha yaani,kama iyo miwani tumekuona nayo kwenye kwenye movie mara nyingi sasa kwanini unaendelea kuivaa,
Pili muwe mnafanya mazoezi jamani mvutie
Mazoezi mazoezi
U guys are stars jamani fanyeni mazoezi
muwe na vifua vizuri,pia mnyoe nywele za kifuani,unakuta msanii anavua shati minywele ya kifuani kibao,yaani ni uchafu mtupu
NI HAYO TU.
KINACHONIKERA ZAIDI TABIA YA KUTOBADILIKA KUWEKA DAWA KICHWANI WA KAKA INABORE ILE MBAYA NINYI VIPI JAMANI MBONA HAMBADILIKI,