Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 19, 2010

VITUKO LOCATION wakati tuko ndani tunashoot Mzee Magali yuko nje anacheza na paka.

Huyu ndiye paka aliyekuwa akicheza na Mzee Magali location.

Paka akiongea katika simu ya Mzee Magaliahahhahah sasa sijui anaongea na nani?au paka mtu ahhahhah

Mzee Magali akicheza nae bila wasiwasi

wakipokezana kuongea katika simu

Hakika hii ilikuwa burudani ya aina yake maeneo tunayofanyia shooting ya movie yangu.

No comments: