Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 22, 2010

WADAU NAMBA MOJA WA RJ COMPANY NA KANUMBA THE GREAT FILMS WATEMBELEA LOCATION KWANGU.

Mdau namba moja INNO BACHARD,(kushoto)Pink,Slyvia na Ally Yakuti waliponitembelea location kwangu kuona jinsi kazi inavyokwenda,asanteni sana jamani kwa kunitia moyo wadau.

Kutoka kushoto ni mdau namba moja Innocent Bachard,mtoto Pink na mdau Chime Chande wakiwa katika location yangu nikishoot.

The great nikiwa na wadau pamoja na mwandishi nguli wa script kulia Ally Yakuti

kwa pamoja tunawakilisha

Wadau,the great,Ally Yakuti location kwangu huwa ni kawaida yao wadau hawa wa RJ COMPANY na KANUMBA THE GREAT FILMS kutembelea sehemu zetu za kazi ili kututia moyo kulisukuma gurudumu wakati fulani nao huingia kabisa katika movie na kucheza scene kadhaa,Shukrani sana Inno Bachard na Chime Chande.

2 comments:

Anonymous said...

Asante kwa kurekebisha picha sasa zinaonekana vizuri,inapendeza ukipewa ushauri na wadau wako unaufanyia kazi
btw ujumbe wangu kwa Ally yakuti ulinifikishia?

Rachel

Anonymous said...

Ivi nyie kwa nini mnapenda kutuona wapumbavu,hao mademu ni wadau wenu au wake zenu?nani asiejua kama Sylivia ni mwanamke wa Kanumba na uyo Pink ni wa Ray Kigosi?kueni wakweli tu hayo ni maisha ya kwaida kila mtu anaishi,mnaongopa then mnatolewa magazetini kwa kashfa za ngono kila siku,ila ray unachotafuta utakipata siku si nyingi mana iyo kasi yako iyo ya kuokota visivyookotwa inazidi tu.