Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 2, 2010

SWAHIBA AZIDI KULISUKUMA GURUDUMU LA SANAA YETU HUKO LOCATION.

The greatest,The great pioneer na Lusubilo tukiangalia jinsi shooting inavyokwenda.

The big two.....


Wakati fulani shooting huwa kuna utani wa hapa na pale mara moja moja kama unavyoona hapo maya na johari vicheko kwa wingi hapo alitaniwa mtu.

Vijana wakiwa kazini..wakiweka mitambo sawasawa.

Oprah mwenyewe akisubiria action toka kwa director.

wewe johari uliniagia kwa The great kuwa nakuja kukufanyia make up hapa RJ maana karibia na yeye anaanza shooting nisije kosa shavu....ahhahaah ni kama maya akimwambia johari

Lusubilo mwanguku akiwa makini kazini

Peace and love

Irene akipata maelekezo toka kwa swahiba ambaye ndie director wa movie hiyo iitwayo MY DREAM.

Umenielewa uwoya?akipewa maelekezo kabla ya kuanza kushoot.


Dr.cheni akibadilisha nguo kuendelea na shooting.hapo juu maya akimsubiri aje kupakwa make up.

Irene uwoya nae japo kachoka lakini anabadilisha nguo ili aendelee na scene inayofuata inaelekea hii itakua filam tamu sana ya RJ.Hongereni sana wote mlioshiriki vyema katika filam hii Mungu azidi kuwabariki.The great pioneer a.k.a SULTAN.

1 comment:

nyamwisenda said...

semakweli kanumba unajitahidi sana big up sana2.