Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 19, 2010

KATIKA SHOOTING YA LEO AUNTY EZEKIEL KATUALIKA MLO WA USIKU NYUMBANI KWAKE.

Crew yangu yote tulijumuika nyumbani kwa Aunty kupata makulaji ya nguvu,asante sana Aunty.


Kutoka kulia ni mmoja wa waandishi wazuri sana wa script za movie anaitwa Ally Yakuti nae alivamia gafla sijui alijuaje,siku hizi amekuwa mgumu sana kupatikana wakati fulani simu huwa hapokei au huzima kabisa.

Aunty akicheka sana baada ya kuona matonge yangu ninavyoyameza maana ilinibidi nikae chini ili niutafune vizuri wali kuku.

Wao wanapiga story mimi habari sina kabisa nala tu.

Huwa sina masihara kabisa katika kipengele hiki hasahasa nikiwa na njaa na nimetoka kufanya kazi.

Ubarikiwe sana Aunty Ezekiel Rehema greyson jujuman Gwantwa.

8 comments:

Anonymous said...

Hongera aunt, nimependa sana kuona unajishughulisha na mambo ya nyumbani. Sasa umekuwa.
kila la kheri.disminder.

Anonymous said...

Kanumba picha ni nzuri but rekebisha blog vipicha ni vidogo sana hadi vinauzi

Anonymous said...

maskini aunty hana dining room!!!!!!!

pole aunty!!!!!!!!!!!!

fanya marekebisho uende na wakati kwani wewe sikila siku unatembelea malokesheni tofautitofauti unajionea?
dining si lazima iwe kubwa lakini pia ni muhimu sana katika nyumba ni lazima viende sambamba na jiko kama huwezi kuwa na dining basi hata jiko usiwe nalo!!!!!!

ni mtazamo wangu tu mpenzi usijenitoa roho buree!!!!!!!!!! na si lazima uufate,

hope kanumba utanifikishia ujumbe!

Anonymous said...

Hebu tuambie kumhusu huyu mtoto Aunty nafasi ipo? maana anaonekana anafaa!!

Anonymous said...

Kanumba vipicha ni vidogo na ni low quality plse rekebisha hilo, halafu naomba unifikishie salamu zangu kwa Ally yakuti roho yangu imemdondokea

Rachel

Anonymous said...

dining si lazima, kila mtu anapanga nyumba yake vile apendavyo, kwani walaji si wameshiba na kufurahia.

Anonymous said...

dining..dining..what is all about dining,hamjui ni nyumba zetu za kupanga jamani?kwan kasiema amejenga?acheni ushamba dem amejitahidi sana mpeni haki yake

Anonymous said...

AISEE KANUMBA HUYO DADA ANAITWA AUNTY EZEKIEL MI KIUKWEL NAMPENDA SANA NINGETAMANI SIKU MOJA AWE MKE WANGU ILA NAHISI KWA VILE YEYE NI SUPASTAA SIWEZI KUMPATA ILA PLS MFIKISHIE SALAMU ZANGU KUWA NAMPENDA SANA